Ni kweli unapata raha

gyeetitus

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
86
Reaction score
39
Haya jamani najua wote humu si wanaopenda kwenda club na kunywa mvinyo(pombe) ila wewe unaependa funguka huwa unapenda kwenda club gani mkoa wowote na mvinyo gani hupendelea kutumia, usisahau kusema unapenda kutoka club na nani usiohusika na mambo haya kaa kimya.
 
Missipi lounge Bonge Moja ya Club Natumia Spirit Sometym ViceRoy(Am Big Fun This Shit) ama Bia napenda Serenget na heniken some tym
 
huwa nashuka kilabuni mitaa ya mabatini mbeya.....bila kusahau kamba za kufunga miguuni.....nagonga chimpumuu ya kutosha then narud geto na mama muuza....nampa mambo asubuh anarud kwake
 
Element, Triple 7 hapo thatha Napendelea kwenda kusalimu Namaqualand nipate zangu Namaqua sweet red wine au savanna. Mziki kila nyimbo naimba nakucheza mpaka kiingilio changu kiishe ha ha ha ha ha ha isibaki hata mia ya chenchi...
 
aiseee [emoji1][emoji1]
 
Kwi kwi kwi kwi kwi eti unaimba na kucheza hadi kiingilio chako kiishe LOL!

Hivi yaani BAK,nacheza na kuimba nyimbo zote hata ambazo sizijui mwenzangu,ilimradi tu nifurahi.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…