Kwanza, kusema "muda mrefu",
it's too subective. Mda gani, wiki mbili, mwezi, miezi sita, mwaka au zaidi ya mwaka? Kila mtu ana muda mrefu wake, kuna wengine siku tatu ni muda mrefu sana wakati wengine hata mwaka bado haujawa muda mrefu. Inategemea na uchu, maumbile, upatikanaji wa
sex yenyewe n.k.
Pili sio kweli kuwa usipo
sex kwa muda mrefu utaumwa na mgongo. Hata hivyo, wataalamu wa afya ya uzazi wanaamini kuwa ku
sex kuna faida nyingi kuliko hasara. Angalia
hapa. Lakini si kusema kuwa wale wasio sex hupatwa na matatizo ya afya. Ingekuwa hivyo, waumini wasio sex wangekuwa wote vibyongo kwa kuumwa na migongo. Kuna hata imani kuwa wale wasio
sex wanaishi muda mrefu kuliko wanao
sex. Yote yote, akili kichwani mwako BINTI77