Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

BINTI77

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
83
Reaction score
11
Wadau naombeni msaada kwa hili,sielewi kama ni kweli usiposex mda mrefu kiuno kinasumbua au yanakuwa ni maradhi mengine tu,
 
Makubwa, hivi hawa MoEVT wana mpango gani?

Binti yangu, hakuna uhusiano wa maumivu ya kiuno na kutokufanya ngono. Kama kiuno kinakuuma nenda hospitali usiende kutafuta wa "kukinyoosha" sawa eeh?
 
ni kweli mkuu. mwenyewe nina wiki mbili sijasex nahisi kiuno kuuma. dah? umejuaje?
 
Makubwa, hivi hawa MoEVT wana mpango gani?

Binti yangu, hakuna uhusiano wa maumivu ya kiuno na kutokufanya ngono. Kama kiuno kinakuuma nenda hospitali usiende kutafuta wa "kukinyoosha" sawa eeh?
asante kwa kunifahamisha baba, si kwamba nilitaka kunyooka,ila nimeuliza ili nijue manake watu wanasema hivyo.
 
ni kweli mkuu. mwenyewe nina wiki mbili sijasex nahisi kiuno kuuma. dah? umejuaje?
hahaha,we mwana wee,wiki mbili tuunatangaza ukimaliza mwezi si utapofuka?
 
UUmwe kwa misingi ipi?Acha kujilemaza!Sasa mkeo/akijifungua au mumeo akiumwa mwezi si utachapwa nje wewe?
 
dunia ina mambo,,, hili nalo sijui kama lina ukweli,,,, maumivu yakizidi (ya kiuno) muone daktari
 
sio kweli.mimi nilikaa zaidi ya mwaka na sikupata tatizo lolote lile
 
toka umezaliwa mpaka ulipoanza sex ni zaidi ya miaka 16/17/18 etc. je kabla hujaanza sex
uliwai kuugua? hizo ni tabia ya "Maharage ya Mbeya" mkemee huyo Shetani!

Wadau naombeni msaada kwa hili,sielewi kama ni kweli usiposex mda mrefu kiuno kinasumbua au yanakuwa ni maradhi mengine tu,
 
Ndio kitakuuma tena sana, na utakosa afya imara hebu njoo nikutibu soon!
 
ebu nione nije nikuchecheki kama kimesababishwa na kuto kudo au ni vvinginevyo karibu uckubali kuteseka na maradhi tabia yanayotibika
 
Si kweli............:A S 465::A S 465:
 
Kwanza, kusema "muda mrefu", it's too subective. Mda gani, wiki mbili, mwezi, miezi sita, mwaka au zaidi ya mwaka? Kila mtu ana muda mrefu wake, kuna wengine siku tatu ni muda mrefu sana wakati wengine hata mwaka bado haujawa muda mrefu. Inategemea na uchu, maumbile, upatikanaji wa sex yenyewe n.k.

Pili sio kweli kuwa usiposex kwa muda mrefu utaumwa na mgongo. Hata hivyo, wataalamu wa afya ya uzazi wanaamini kuwa kusex kuna faida nyingi kuliko hasara. Angalia hapa. Lakini si kusema kuwa wale wasio sex hupatwa na matatizo ya afya. Ingekuwa hivyo, waumini wasio sex wangekuwa wote vibyongo kwa kuumwa na migongo. Kuna hata imani kuwa wale wasio sex wanaishi muda mrefu kuliko wanao sex. Yote yote, akili kichwani mwako BINTI77
 
Back
Top Bottom