Nilishawahi kusikia kua mwanaume akijichanja kidog sehem yake ya uume ya kichwa yaani glans penis kwa kitaalam na akapaka Utomvu wa dodoki au minyaa.. Bas uume unakua na umbile kubwa... Je?? Kuna ukweli wowote katika hii dhana? Mimi binafs sina ushahidi... Kwa anaefaham atujuze...