Ni kweli Utomvu wa minyaa au Dodoki hukuza uume?

Ni kweli Utomvu wa minyaa au Dodoki hukuza uume?

rightstrict

Senior Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
100
Reaction score
15
Nilishawahi kusikia kua mwanaume akijichanja kidog sehem yake ya uume ya kichwa yaani glans penis kwa kitaalam na akapaka Utomvu wa dodoki au minyaa.. Bas uume unakua na umbile kubwa... Je?? Kuna ukweli wowote katika hii dhana? Mimi binafs sina ushahidi... Kwa anaefaham atujuze...

Natanguliza shukran zangu kwa wote.
 
Back
Top Bottom