Ni kweli Waislamu waligoma Tanzania isipate uhuru kwa sababu hawakupata elimu?

Ni kweli Waislamu waligoma Tanzania isipate uhuru kwa sababu hawakupata elimu?

Ni bora tu ungecheleshwa kama nchi tungekuwa mbali sana
Yule mpuuzi nyerere alivuruga nchi na kuongeza umasikini na akatuacha masikini wa kutupwa...
Siwezi kusahau yale maisha ya mwazoni mwa miaka ya 80......
 
Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu kiongezeke kilingane na cha wakristo. Kupitia TANU, iliandaa jumuiya ya mashekhe na kutoka hadharani kupinga kauli ya waislamu wenzao.

Source: John Iliffe
The Modern History of Tanganyika


View attachment 2785008View attachment 2785009
Haaaaa habari hizi wazisome THE BIG SHOW The Boss Ritz FaizaFoxy

Ndio maana waliunga mkono bandari zetu wapewe waarabu maisha na bureee.
 
Back
Top Bottom