Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu kiongezeke kilingane na cha wakristo. Kupitia TANU, iliandaa jumuiya ya mashekhe na kutoka hadharani kupinga kauli ya waislamu wenzao.
Source: John Iliffe
The Modern History of Tanganyika
View attachment 2785008View attachment 2785009