Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Je ni kwel form 4 leavers 2013 walopata div 1-3 hawatochaguliwa chuo hata kama ulichagua chuo? nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thread yako ni INCOMPLETE.SASA WAENDE WAPI KAMA SI CHUO?nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au
nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au
Yan namaanisha form 4 leaver 2013 watachaguliwa advanc walopata hzo div hata kama walichagua kwenda chuo
Yan namaanisha form 4 leaver 2013 watachaguliwa advanc walopata hzo div hata kama walichagua kwenda chuo
Hebu chaji kwanza betri yako,!
Form four wanachaguliwa kwenda vyuo gani? Na wanachaguliwa na nani?
sijaelewa bado
thread yako ni INCOMPLETE.SASA WAENDE WAPI KAMA SI CHUO?
Uko sahihi mtoa mada, waliopata 4 na 0 ndio wataenda chuo.
Waliopata I-3 warudi kijijini wakalime
Kwa hiyo walopata div 4 na zero ndo watakaochaguliwa kwenda chuo?
Acha uoga kijana.Nenda advance
Hebu chaji kwanza betri yako,!
Form four wanachaguliwa kwenda vyuo gani? Na wanachaguliwa na nani?
Comprehension shida sana kumbe bongo...
Nimepata jibu kwa nini wanetu wanaingia Form I bila kujua kusoma vizuri...
Lile swali la "UFAHAMU" la kiswahili wamelipotea...
Amei-edit thread yake jana haikuwa hivi alikuwa hajayapanga mawazo yake katika mtiririko unaoleweka.
So Njunwa usikimbilie kutujudge kwamba hatuna ufahamu
umerukia treni mbele..ka edit jana bwana..yaani watu hamsomi kwa akini kweli mnakurupuka tu.hivi nimepata jibu kwanini watu wanaingia form 1 huku hawajui kupitia mambo ka umakini na kusoma...""Last edited by Battery low; Yesterday at 15:41.Comprehension shida sana kumbe bongo...
Nimepata jibu kwa nini wanetu wanaingia Form I bila kujua kusoma vizuri...
Lile swali la "UFAHAMU" la kiswahili wamelipotea...