Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
- Thread starter
- #21
mmh ewe mungu jaalia isiwe kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh ewe mungu jaalia isiwe kweli
Watoto wa siku hizi uwezo wa kufatilia mambo ni mdogo saaaana!enzi hizo sisi simu hatuna lakini tuko full updated.sasa dogo anashindwa hata kuingia web ya wizara husika akachek taarifa ramsi
Umenena mkuu,unakumbuka hata matokeo ya necta yalikua yanabandikwa halmashauri mtu unasafiri kwenda kuangalia.
Nenden advance vijana diploma mtakuja kuhangaishw sna badae ktk mkopo sbbu sa hv mpo weng mno hvyo bac pigeni msuli wa kiume mwende UDSM(CoET) pale yan ni bonge la chuo,hlaf tena kumbuken nyie ni wanaume kwhyo kwend chuo mi naona kama unajipotezea heshima yako