Ni kweli Wananwake wanafurahia Mpira wa Miguu au fata mkumbo

Ni kweli Wananwake wanafurahia Mpira wa Miguu au fata mkumbo

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Wanawake mnao tazama mechi mbalimbali za mpira wa miguu mnafurahia au mnafuata mkumbo labda kwasababu mpenzi,rafiki,kaka au wazazi wako ni shabiki wa timu fulani.

Kipi au nani akilikuvutia kushabikia timu unayoipenda?

a4c0d6fa66fc6b01ef421d51918d2183.jpg
 
Kulikuwa na Mwanamke Jirani yangu anafuatikia na kuchambua boli kushinda hata Wanaume hadi utashangaa
 
Wakati nasoma secondary game za usiku EPL tulikua hatuangalii,mechi za jioni weekend tulikua tunaangalia,.

Kuna mama mtu mzima kuzidi mama yangu alikua mpishi shuleni,muda wa break ya kwenda kunywa chai saa 10 tulikua tunamzunguka anatuadithia mechi za weekend usiku,na matokeo..

Yule mama alikua chizi Chelsea..

So kukujibu swali lako YES wapo wengi tu na mmoja kanila elfu 50 juzi kwenye betting, yeye timu Messi
 
Kushabikia mpira nayo ina ujinsia?
 
Back
Top Bottom