Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Kwa mentality ya bongo yupo sahihi , mfano Banda umiza asilimia 99.9% ni Wanaume huwakuti Wanawake na access ya kutazama majumbani ni ndogoMada yako imekaa Kiafrika sana.. ungekuwa umewahi kufika huko duniani kwa wenye mpira wao, hii mentality usingekuwa nayo