Ni kweli Wanaume wa Pwani hawapendi ugali?

Ni kweli Wanaume wa Pwani hawapendi ugali?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Nimenotice kwamba watu wa Pwani hata wanaume wa kande zote za Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe na Dar, Lindi, Mtwara na Zenj hawapendi Ugali sana wao ni wali sana sana tofauti na watu au wanaume wa sehemu zingine?

Je ni kweli au generalization tu yangu?
 
Nimenotice kwamba watu wa Pwani hata wanaume wa kande zote za Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe na Dar, Lindi, Mtwara na Zenj hawapendi Ugali sana wao ni wali sana sana tofauti na watu au wanaume wa sehemu zingine? Je ni kweli au generalization tu yangu?
Kwani Ugali Una Nini Boss mpka Tule
 
Ugali ni uji ulioganda.Emagine ukila ugali halafu ukanywa maji kunatokea mchanganyiko gani tumboni si uji tu unakuwa.
 
Nimenotice kwamba watu wa Pwani hata wanaume wa kande zote za Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe na Dar, Lindi, Mtwara na Zenj hawapendi Ugali sana wao ni wali sana sana tofauti na watu au wanaume wa sehemu zingine? Je ni kweli au generalization tu yangu?
Hata sisi Kagera hatuli ugali sana na hatuupendelei sana, tuna utumia kipindi cha njaa au kaya masikini
 
Ndiyo maana husikii wametumwa Sukari wala presha si Ujanani hata uzeeni
 
Ukimpa Mvulana wa pwani Ugali atakulaani sana kwasababu ni Adhabu kubwa sana kwao

Na hapo ni Ugali uliosongwa kwa maji ya nazi
 
Tatito umeweka umuhimu kwenye maisha ya watu...😂
 
Back
Top Bottom