Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Kwani Ugali Una Nini Boss mpka TuleNimenotice kwamba watu wa Pwani hata wanaume wa kande zote za Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe na Dar, Lindi, Mtwara na Zenj hawapendi Ugali sana wao ni wali sana sana tofauti na watu au wanaume wa sehemu zingine? Je ni kweli au generalization tu yangu?
Hata sisi Kagera hatuli ugali sana na hatuupendelei sana, tuna utumia kipindi cha njaa au kaya masikiniNimenotice kwamba watu wa Pwani hata wanaume wa kande zote za Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe na Dar, Lindi, Mtwara na Zenj hawapendi Ugali sana wao ni wali sana sana tofauti na watu au wanaume wa sehemu zingine? Je ni kweli au generalization tu yangu?
Tulia weweeeUmemaliza? Au tuendelee kukusikiliza?
Wali unakaa Tumboni muda mrefu kushinda ugali.Wale ugali kwa kazi gani wanazofanya?...
Kwa hiyo wanavuta ili iweje sasa kama hawapati stimu?Wanavuta majani wanayaita bangi....bangi Gani hata uvute usiku kucha hupati stimu?
hata wali ni kama ugali tu si ni wangaNdiyo maana husikii wametumwa Sukari wala presha si Ujanani hata uzeeni