Acheni uwongouwongo na sifa za kijinga Grammy wana official website yao na wametangaza tarehe ya 2021 awards ambayo Ni January 31 na wameeleza pia majina ya nominees bado hayajatoka kwenye Grammy hakuna kitu hicho eti consideration ya kupigiwa kura
Kwenye Grammy ni kusubiri nomination tu kutoka kwa Grammy wenyewe
Kuwa nominated tu kwenye Grammy ni bonge la bigdeal hivyo Kama Mtanzania inshallah nawaombea kila kheri wanamuziki wa Tanzania nao waweze kuwa nominated.
Either wabongo wa uswazi wanapendasana sifa za kijinga
Story nyingine ukiona jiongeze kwa kutembelea websites husika utakuta story hiyo Ni ya kweli au ni fake na pia utajikuta unapata uelewa wa mambo mengine mengi usiyoyajua kuhusu hiyo ishu