Ni kweli WASAFI wamekuwa nominated kwenye Grammy? Wataweza kweli?

Ni kweli WASAFI wamekuwa nominated kwenye Grammy? Wataweza kweli?

Acheni uwongouwongo na sifa za kijinga Grammy wana official website yao na wametangaza tarehe ya 2021 awards ambayo Ni January 31 na wameeleza pia majina ya nominees bado hayajatoka kwenye Grammy hakuna kitu hicho eti consideration ya kupigiwa kura
Kwenye Grammy ni kusubiri nomination tu kutoka kwa Grammy wenyewe
Kuwa nominated tu kwenye Grammy ni bonge la bigdeal hivyo Kama Mtanzania inshallah nawaombea kila kheri wanamuziki wa Tanzania nao waweze kuwa nominated.
Either wabongo wa uswazi wanapendasana sifa za kijinga
Story nyingine ukiona jiongeze kwa kutembelea websites husika utakuta story hiyo Ni ya kweli au ni fake na pia utajikuta unapata uelewa wa mambo mengine mengi usiyoyajua kuhusu hiyo ishu
Tunafatilia kwa uzuri
 
Wakuu Amani Iwe nanyi.

Nimeona Post Za Wasafi Kuwa Nominated Kwenye Grammy Awards 2021 lakini kila nikitafuta kwenye Official Accounts Za Grammy Sioni.

Ni Kweli Kwamba

1.Diamond Platnumz
2.RAYVANNY
3.ZUCHU

Wote hawa Wamekuwa Nominated Kwenye Grammy Awards? na Wanashindana na Nani?

Wataweza Kweliiiiii?
Haters bwana, kwanza kuchaguliwa tu kati ya wengi ni ushindi toshaa
 
akishinda yeyote kati yao humu ndani hapatakalika... nyie endeleeni kuponda
ogopa sana mtu ambaye kila cku unamsema vibaya afu anakukalia kimya
 
Acheni uwongouwongo na sifa za kijinga Grammy wana official website yao na wametangaza tarehe ya 2021 awards ambayo Ni January 31 na wameeleza pia majina ya nominees bado hayajatoka kwenye Grammy hakuna kitu hicho eti consideration ya kupigiwa kura
Kwenye Grammy ni kusubiri nomination tu kutoka kwa Grammy wenyewe
Kuwa nominated tu kwenye Grammy ni bonge la bigdeal hivyo Kama Mtanzania inshallah nawaombea kila kheri wanamuziki wa Tanzania nao waweze kuwa nominated.
Either wabongo wa uswazi wanapendasana sifa za kijinga
Story nyingine ukiona jiongeze kwa kutembelea websites husika utakuta story hiyo Ni ya kweli au ni fake na pia utajikuta unapata uelewa wa mambo mengine mengi usiyoyajua kuhusu hiyo ishu
Mzee me siyo boya Kama wewe[emoji51]
Screenshot_20201011-225352.jpg
 
Hiyo album ya Rayvanny Ni ipi?

Bongo nzima hakuna album Bora Kama African Giant ya Burnaboy Ila Hakushinda Grammy.
Kuna EP yake alitoa inaitwa flower kiswahili chake maua ndio iliyoingia mimi nimepost kama ilivyotolewa na Grammy kwa hiyo hata mimi mgeni kwenye hivyo vitu kwa hiyo tusubirie wataalam wa mambo wafafanue kimetokea nini mpaka kale ka album ka harmonize kasiwepo
 
Haya fuatilia kwa uzuri grammys ninazozijua mimi nimekuwekea link hapo chini ila sorry kwa language manake unaweza ukawa huelewi
Halafu hizo Grammys zenu mmazomaanisha hao watu wenu wamekuwa nominated ni hizi au tofauti?

Looking Ahead To The 2021 GRAMMYs
Mkuu usiwe na hofu Tunafatilia kwa ukaribu, sio kila ambacho hakipo katika website basii hakipo kabisa, inawezekana sio right time kwao kupost, muhimu ni kwamba Hawa GRAMMY ndio wamemfanyia Interview Diamond na kumsifia Sana kuwa ni mchapa kazi na ameupeleka mziki wa East Africa duniani(ni wachache waliofanya hivi ) Sasa kama wanaweza kumfanyia interview vip ushangaeee akiwaaa nominated hapo badaeee? unafikiri ni wasaniiii wangapi Africa wamepataaa shavuuu la kufanyiwaaa interview na Grammy? mimi nafikir Diamond anakwendaaa vizuri Sana
 
Ila we jamaa huwa mnafiki sana unadhan wa2 hawakuoni huwa unajidhihirisha kabisaa [emoji125][emoji125][emoji125]
Acha kujifanya unawajua jua watu me sio chawa msinilazimishe nisifie pasiposifika.

Halafu chawa mwenzio inno kalike
 
Back
Top Bottom