evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Ingekuwa vizuri ungeweka link ya hiyo interviewMkuu usiwe na hofu Tunafatilia kwa ukaribu, sio kila ambacho hakipo katika website basii hakipo kabisa, inawezekana sio right time kwao kupost, muhimu ni kwamba Hawa GRAMMY ndio wamemfanyia Interview Diamond na kumsifia Sana kuwa ni mchapa kazi na ameupeleka mziki wa East Africa duniani(ni wachache waliofanya hivi ) Sasa kama wanaweza kumfanyia interview vip ushangaeee akiwaaa nominated hapo badaeee? unafikiri ni wasaniiii wangapi Africa wamepataaa shavuuu la kufanyiwaaa interview na Grammy? mimi nafikir Diamond anakwendaaa vizuri Sana
Grammy hawanaga hizo longolongo na hawafanyi mambo kwa kificho acheni sifa za kijinga