Ni kweli WASAFI wamekuwa nominated kwenye Grammy? Wataweza kweli?

Ni kweli WASAFI wamekuwa nominated kwenye Grammy? Wataweza kweli?

Mkuu usiwe na hofu Tunafatilia kwa ukaribu, sio kila ambacho hakipo katika website basii hakipo kabisa, inawezekana sio right time kwao kupost, muhimu ni kwamba Hawa GRAMMY ndio wamemfanyia Interview Diamond na kumsifia Sana kuwa ni mchapa kazi na ameupeleka mziki wa East Africa duniani(ni wachache waliofanya hivi ) Sasa kama wanaweza kumfanyia interview vip ushangaeee akiwaaa nominated hapo badaeee? unafikiri ni wasaniiii wangapi Africa wamepataaa shavuuu la kufanyiwaaa interview na Grammy? mimi nafikir Diamond anakwendaaa vizuri Sana
Ingekuwa vizuri ungeweka link ya hiyo interview
Grammy hawanaga hizo longolongo na hawafanyi mambo kwa kificho acheni sifa za kijinga
 
Acha taralila nyingi, unazifahamu tuzo za grammy ?
Mkuu usiwe na hofu Tunafatilia kwa ukaribu, sio kila ambacho hakipo katika website basii hakipo kabisa, inawezekana sio right time kwao kupost, muhimu ni kwamba Hawa GRAMMY ndio wamemfanyia Interview Diamond na kumsifia Sana kuwa ni mchapa kazi na ameupeleka mziki wa East Africa duniani(ni wachache waliofanya hivi ) Sasa kama wanaweza kumfanyia interview vip ushangaeee akiwaaa nominated hapo badaeee? unafikiri ni wasaniiii wangapi Africa wamepataaa shavuuu la kufanyiwaaa interview na Grammy? mimi nafikir Diamond anakwendaaa vizuri Sana
 
raia wanataka link ya mahojiano kati ya grammy na mondi

ama kweli mziki mnene.......
 
Halafu Grammy wanaongeza viewers kwa kuwaingiza nchi za Africa lakini ukweli hawatoi uzito kabisa zawadi wanazitolea kama wale wasanii wa kupasha jukwaa saa 12
 
Kitendo cha waokuwa nomineted pekeyake inaonyesha wameweza hatawasipo pata tunzo.
 
Dah nimekaa nimekumbuka jinsi JK alivyokuwa anazunguka na ndomo kule marekani sijui ndio kumtafutia produza sijui lebo aaaaahh mamaeee maisha yanaenda kasi sana.
 
Samahani,ila mi nilipiga kura hivi!! Sijui nimepatia?
Screenshot_20201015-140402_Facebook.jpeg
 
😂😂😂 comments za huu Uzi..ama Kweli mchawi si lazima aroge.
 
Back
Top Bottom