Ni kweli WASAFI wamekuwa nominated kwenye Grammy? Wataweza kweli?

Ndiyo
 
Labda huyu awe amekufa...

Anaitwa Angelique Kidjo kutokea Benin , mwaka huu ndio alibeba tuzo ya Grammy akimshinda BurnaBoy.

Na hiyo tuzo ameshaibeba Mara 4 na kuwa nominated 9 times.

Sasa Huyo diamond sijui atatusulia wapi mbele ya hivi vichwa.
 
Kama aliweza kuperform Mara 2 kwenye uzinduzi wa michuano ya CAF (AFCON) pamoja na big brother atashindwa vip kwa Hilo?
 
Kama aliweza kuperform Mara 2 kwenye uzinduzi wa michuano ya CAF (AFCON) pamoja na big brother atashindwa vip kwa Hilo?
Stupid ..

How can you relate AFCON na Grammy performance !!!

You must be insane to relate the two.

Go kiss your ass.
 
Stupid ..

How can you relate AFCON na Grammy performance !!!

You must be insane to relate the two.

Go kiss your ass.
Kim Jong Jr Kwanza nashukuru kwa kunitusi lakini pia hoja ujaelewa Hakuna mtu yoyote aliyeamini Kama ulivyokuwa wewe kutatokea msanii wa Kitanzania kufanya show Afcon lakini kupitia Diamond imewezekana.Diamond huyu huyu unayesema hawezi kushinda Grammy ameweza kufanya interview na hao Grammy na amekuwa msanii wa kwanza wa Africa kufanya interview na Grammy pia Diamond mwaka Huu aliandikwa kwenye jarada kubwa la billboard la Marekani lakini huyo huyo Diamond ameshirikishwa kwenye album ya msanii mkubwa wa Marekani mwenye tuzo 5 za Grammy Alicia key.Kupitia Hizo achievement anashindwa vipi kushinda Grammy au mwenzetu unamchukuliaje Diamond?
 
Naona unajichanganya hivi unakumbuka kweli hata title ya hii thread au unachangiachangia upupu wako
Hawajawanominated : wamependekezwa ,unamaanisha Nini hapo?

Naona hujielewi wala hujui huu mjadala ulianzia wapu
 
Hunaakili wewe muanzisha uzi mwenyew hajua kinachoendelea ameuliza hana taarifa kamil

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
unamakasiliko kwan diamond alipiga mimba mother wako nini inawezekan mdog wako ni mtoto wa diamond

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako my beloved mummy passed away 1998 huko continue to RIP my lovely mummy.
Domo wakati huo anauza mafuta shell, Domo atawafira sana kumamaezenu fanyeni kazi mjitegemee, mmekuwa chawa plus makupe hadi mnaudhi
unamakasiliko kwan diamond alipiga mimba mother wako nini inawezekan mdog wako ni mtoto wa diamond

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]unamakasiliko kwan diamond alipiga mimba mother wako nini inawezekan mdog wako ni mtoto wa diamond [emoji23][emoji23][emoji16]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…