Ni kweli,wasanii,viongozi,wanausalama,mahakimu,kuna wakati wanalia sana ila kwa siri ñdio mana huvaa miwani meusi...

Ni kweli,wasanii,viongozi,wanausalama,mahakimu,kuna wakati wanalia sana ila kwa siri ñdio mana huvaa miwani meusi...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Hii hutokea sababu ya hisia pale mtu anapokuwa haamini macho yake anapofanyiwa surprise,anapowaza yeye nani hadi spate hadhi kubwa na si mwingine mwenye sifa kama yeye,dhamana na kahalika.

Sasa kwakuwa huwavuta wengi so vyema akatoa machozi mbele ya watu kwani ataumiza wengi kihisia sawa na mjane alie mbele ya watoto kwa ugumu wa maisha,au baba wa familia hivyo hujificha

Hii ilianzia tangu enzi za manabii kama mtumishi wa Mungu Yusuph alipowatambua ndugu zake waliomsaliti,alijufungia na Julia kwa sauti kuu(mpango wa Mungu)

Miongoni mwa watu mashuhuri na viongozi waliotoa machozi hadharani kwa hisia ni

Barack Obama,rais mstaafu wa Marekani kipindi alipodhulu nyumbani kwao Kenya kwa Mara ya kwanza na kipindi anaapishwa kwa Mara ya kwanza kuwa raid wa taifa kubwa ulimwenguni.

Rais mstaafu Dr.Jakaya Kikwete wakati alipodhulu Australia kipindi anasomewa mazuri aliyoyatenda na CV take kwa ujumla toka kwa mkuu wa chuo alichotembelea.

Msanii Harmonize pindi alipostukizwa na msanii mwenzie Diamond ktk onesho LA usiku wa watu wa Kusini.

Neymar pindi alipotambulishwa mbele ya maelfu ya wapenda soka nchini Ufaransa

Bob wiñe pindi alipokuwa ktk kesi ktk mahakama ya kijeshi.

Nb:unapoenda kuhojiwa au ktk hafla za kitaifa ni vyema ukavaa miwani meusi kwani unaweza kumbwa na hali ya kutoa machozi ama kwa kuulizwa ulipoanzia na kuguswa kihisia hivyo kuliza wengi quality ktk performance mbalimbali
 
kuna kiongoz flani wa kaki, ana miwan mbili moja ni nyeus huwa anaivaa mbele ya watu.
 
Back
Top Bottom