Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

jamani mlio tangulia naomba kujua hizo picha ndo wastara alituma kwenye insta yake akiwa india au zimewekwa tu.
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Yaani kiwango chako cha kufikiri kiko chini siku hizi mpaka unakera. Ukitafuta mishipa kwa muda mrefu mkono mmoja unakuwa mweusi. Na huo utaalamu wa kugeiza Canula uko India tu?
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Halafu mbishi tu wakati wakati hujawahi hata kunywesha mtoto dawa ya kikohozi!!
 
achana na jinsi cannula ilivowekwa kinyume, angalia pia jinsi bandeji zinazoishikilia hiyo cannula zilivyorundikwa! Tuache utani naona alipost picha ya bongo muvi badala ya ile hospitali
 
Political Science,

Mataifa ya nje yenye nguvu sasa hv yanajua Rais ana moyo wa upendo kwa wananchi wake[emoji125][emoji125]
 
Ila sheteni ni mbayaaa..Anakufanya unatenda dhambi anakuweka paleee juuuuu kila mtu ana kuona ndo anakuachia hapo unaangukaje sasa?ila ni mjinga alikosa hata nesi wa kumwekea canula akampa elfu20 tu.
 
Ila sheteni ni mbayaaa..Anakufanya unatenda dhambi anakuweka paleee juuuuu kila mtu ana kuona ndo anakuachia hapo unaangukaje sasa?ila ni mjinga alikosa hata nesi wa kumwekea canula akampa elfu20 tu.
Hahahahahaha sina mbavu mie
 
Akome na show off za kwenye mitandao. Alishimdwa nini kutibiwa kimya kimya
 
Tungejua yupo India hospital gani tungepata jibu.
 
issue sio kuzingua ila tumuulize wastara hii tiba anapata wapi? hii ndio itakuwa pivot yetu ya kuendelea na huu mjadala otherwise tunamuonea
Mkuu. Haijalishi hata kama tiba utakuwa unaipata ghetoni kwako. Cannula inakuwa inserted kuelekea upande wa mwili wako sio upande wa kidole, hii inatokana na mfumo wa mzunguko wa damu wa binadamu ulivyo, kwenye picha aliyopost wastara imeonyesha cannula iko inserted kuelekea upande wa kidole hivyo dripu itakuwa inakinzana na blood flow. Wastara atakuwa ame fake hii kitu unless mfumo wake wa mzunguko wa damu utakuwa tofauti na binadamu wengine nitakubaliana na nilichokiona.
 
Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Hapana Dada watu hawsongelei eneo bali direction ya flow. Yaan imewekwa kwamba dawa iende vidolen badala ya kwenda juu began
 
Hata laws za physics atakua anakinzana nazo.. sio bure
 
Ila sheteni ni mbayaaa..Anakufanya unatenda dhambi anakuweka paleee juuuuu kila mtu ana kuona ndo anakuachia hapo unaangukaje sasa?ila ni mjinga alikosa hata nesi wa kumwekea canula akampa elfu20 tu.
Umeuaa mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…