Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu

Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Yani nacheka peke Yangu mpaka jirani hapa kwenye diamond jubilee aninsonya... Hahahahaha
 
Mukulu na team yake sijui wanajisikiaje...

Jamaa si ana TISS chini yake? Hakufanya hata kuulizia kwamba mgonjwa ni-aje?
 
Huyu itakua hajamchangiaa hataa 50 laiti angechangaa afuu akajuaa katapeliwaa asingekazaa ubongoo... Na hata kama mtu hujachangaa suala la KULITAPELII TAIFAA ZIMAA HALIKUBALIKI...RAIS KATOA KODI ZETU ZILE

Kwa hiyo unataka kusema watanzania wote tumechanga.....etiiii
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Hebu soma tena ulichoandika maana huelewi hata kinachoendelea
 
Nimecheka sana watu wapo makini hivi uyu ujasiri huu kautolea wapi nini hasa mbona anatuchezea analeta mapicha picha
 
Unaona sasa......ushaanza kubishana na dokta.......
Hakuna Principle ya kumpa mgonjwa dawaa kwa njiaa hiyoo ilii iingie Taratibu... UKITUMIA NJIA YA DRIP AU IV unaweza kabisaa kucontrol rate ya dawaaa kuingiaa... Huoo upuuzi wako wa Dawaaa kupiga CROSS LABDAA KOLOMIJEE....
 
Hakuna Principle ya kumpa mgonjwa dawaa kwa njiaa hiyoo ilii iingie Taratibu... UKITUMIA NJIA YA DRIP AU IV unaweza kabisaa kucontrol rate ya dawaaa kuingiaa... Huoo upuuzi wako wa Dawaaa kupiga CROSS LABDAA KOLOMIJEE....

Wewe ukija hospitalini kwangu nakupiga sindano ya acid......sio kwa kunisumbua huku.......
 
kuweka yeye au ma nurses/drs ndo wamekosea? kwako halipo.....tusihukumu kila wakati,,,,,,tujiulize yupo wapi wanakotoa tiba kwa style hii? then tukianzia hapo tuendelee na kuhoji mboja tiba wanakupa tofauti?
simtetei kwa sababu simjui hanijui......issue kuhukumu tungejua alipo kwanza lets say yupo Aga khan hapo tutaanza kuhoji kweli ? Aga khan?
Hakuna nurse wa kukosea hivyo dunia nzima, umeona wapi mgonjwa kafungwa plaster zote hizo
 
Kitaalam......cannula inatakiwa iwekwe kuelekea kwenye kucha ili dawa ipige cross yenyewe kwenda juu taratiiiiiibu.....Hii ni kuzuia dawa kumjaa mgonjwa.....

Dr Preta........
Dr umemisika,
 
Hakuna nurse wa kukosea hivyo dunia nzima, umeona wapi mgonjwa kafungwa plaster zote hizo
aaaaah hujanisoma binafsi nilitaka tuanze mbali kidogo kumuuliza dada yetu wastara amelazwa wapi wanakotoa huduma hivyo? sio kama namtetea la hasha siwezi mtetea mtu ambaye simjui na sijuli kaliba yake
 
Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniongezea muda Wa kuishi duniani
 
Teknologia ya kule ausio...????

Ndiyo mkuu. Huoni hata kutembea kwao?
(Simdhihaki mgonjwa kwa sababu habari za Afya ya mtu ni Mungu ndiye anayejua. Afya ni uhai na uhai ni mali ya Mungu. Naongelea tu uwezekano wa kuwa na utaalamu mbali mbali kwamba yamkini wahindi wanajua kile wanafanya kwenye kugeuza huko kunakosemwa. Mimi siyo medical practitioner. Ila tu ninachonoa mjadala kw asababu hata kutembea tunatofautiana. Wahindi wana mtembeo wao, na sisi tunao wa kwetu).

Wahindi noma mkuu!.

 
Back
Top Bottom