Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Binafsi nimependa sana alichofanya Wastara! Safi sana!
 
nimeona mitandaoni nikacheka sana na mwenyewe akafuta hapo hapo kuona kumbe wabongo sio bongo lala
Nitake radhi mkuu
Wajinga ndio waliwao na yule mpangaji wetu feri alipeleka mabulungutu ya noti eti za matibabu nikajua hii ni sinema tuu.Kwani wizara ya afya haina fungu la kuwatibu wagonjwa huko india?
 
Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu

Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]

Unakumbuka mume waie Sadifa alivyomuumbua kuwa eti kaaga anaenda india matibabu kumbe yupo dubai anakula bata
 
Wewe bint huna kazi ulipata wapi pesa ya kuchanga?

Acha umbeya na kushinda mitandaoni kamhudumie mumeo.
Sio kila anaetafuta kazi humu bhasi ni yeye ndo anatafutaa...!! [HASHTAG]#kitulizee[/HASHTAG]
 
Watu wabaya na majasiri mno, nakumbuka milioni kumi zilivyopelekwa kwa heshima na wasaidizi wa Ikulu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe chezo!
Mkulu kufanywa boyaa itakua kamind sanaa
 
Kama mkulu katapeliwa basi tena! Sina cha kusema.
 
Kama mkulu katapeliwa basi tena! Sina cha kusema.
 
Kama mkulu katapeliwa basi tena! Sina cha kusema.
 
Huyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?

Huwa analilia nn haswa?

Mi hata sijui......
 
Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika

Ndiyo sababu akaenda India. Labda wahindi ndivyo hufanya kwa kulingana na technolojia ya kule. Tuombe Mungu arudi salama Tanzania.
 
Halafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mkui Drip huwa HAIWEKWIIII HIVYOOO MAHALI POPOTE DUNIANI...!! Sasa ukiweka hiyo cannula kuelekea kwenye vidolee ina maana dawaa iende kwenye Vidole na kucha au???

Kitaalam......cannula inatakiwa iwekwe kuelekea kwenye kucha ili dawa ipige cross yenyewe kwenda juu taratiiiiiibu.....Hii ni kuzuia dawa kumjaa mgonjwa.....

Dr Preta........
 
Kitaalam......cannula inatakiwa iwekwe kuelekea kwenye kucha ili dawa ipige cross yenyewe kwenda juu taratiiiiiibu.....Hii ni kuzuia dawa kumjaa mgonjwa.....

Dr Preta........
Ipige cross..?????? Itakuwa ulisoma Arts alafu miaka ya 1990...
 
Sio kila anaetafuta kazi humu bhasi ni yeye ndo anatafutaa...!! [HASHTAG]#kitulizee[/HASHTAG]

Kwahiyo na wewe tapeli unampigia kelele tapeli mwenzako.

Acha umbeya dada utakuja kuolewa bila mali..........Ukiambiwa utoe ushahidi utaishia kujiumauma vidole.
 
Back
Top Bottom