GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia.
Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei, sijabahatika "kukutana" nao, au sikufahamu utaifa wao(sikuwatafiti utaifa wao).
Japo haikuwa research rasmi, lakini inaweza ikawa inaakisi ukweli?
1. Inawezekana Kampala iwe na Wanigeria wachache wakati kwa asili ni wasaka fursa, isitoshe nchi yao ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika?
2. Inawezekana Watanzania, ambao Waganda ni kama ndugu zao, wawe wachache Kampala?
Tafadhali nitie moyo kwa kuniambia kuwa hako kautafiti kamekosewa. Vinginevyo, nitahisi Watanzania "tumepunjwa"!