Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia.

Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei, sijabahatika "kukutana" nao, au sikufahamu utaifa wao(sikuwatafiti utaifa wao).

Japo haikuwa research rasmi, lakini inaweza ikawa inaakisi ukweli?

1. Inawezekana Kampala iwe na Wanigeria wachache wakati kwa asili ni wasaka fursa, isitoshe nchi yao ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika?

2. Inawezekana Watanzania, ambao Waganda ni kama ndugu zao, wawe wachache Kampala?

Tafadhali nitie moyo kwa kuniambia kuwa hako kautafiti kamekosewa. Vinginevyo, nitahisi Watanzania "tumepunjwa"!
Labda wafanyabiashara ila kama ni watanzania tu, kuna wanafunzi wengi sana Uganda tena sana

Sijui siku hizi lakini nakumbuka miaka ya nyuma kidogo kuna moja ya shule pale Kampala ilikuwa na wanafunzi 200+ wa TZ A-level

Nikasema sasa hapo darasani si ni kama Bongo tu
 
Wanafunzi ni "kesi" nyingine. Ni vigumu kukutana nao mitaani kama hao "raia " huru niliokutana nao.
 
Kenya ni nchi ya ajabu sana, kiufupi mahali pa border ya kenya na Somalia na kenya na Ethiopia kuna loophole kubwa sana jamaa wanaingia kila siku, huko serikali kiasi fulani imechemka, kenya wanaishi waborana wamejaa tele, wasomali tele sasa kuchanganya huyu sio native speaker wa kiborana cha kenya au cha ethiopia unajuaje? so miji iliyopakana na hizo nchi ndo wapo hao wafugaji, watu wamevurugwa hao hawana utu hata 0, siku moja twende garbatula tukazurure mkuu.
Garbatula ni wapi huko mkuu? Kama ni kwa wafugaji wenye bunduki siendi hata kwa kulipwa😀
 
Garbatula ni wapi huko mkuu? Kama ni kwa wafugaji wenye bunduki siendi hata kwa kulipwa😀
Hahahaha acha uoga mkuu, wale jamaa yaani kwanza wako primitive wanatema tema mate hovyo na hawaongei hizi lugha maarufu af wana umoja balaa, kuna jamaa alileta tabu walimtembezea fimbo za fasta fasta, jamaa wanajua kucheza na fimbo kama wairaqw kule qameyyu.
 
Ndiyo unanitaka niende huko? Nimekukosea nini mkuu?
 
Back
Top Bottom