Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

Labda wafanyabiashara ila kama ni watanzania tu, kuna wanafunzi wengi sana Uganda tena sana


Sijui siku hizi lakini nakumbuka miaka ya nyuma kidogo kuna moja ya shule pale Kampala ilikuwa na wanafunzi 200+ wa TZ A-level

Nikasema sasa hapo darasani si ni kama Bongo tu
 
Wanafunzi ni "kesi" nyingine. Ni vigumu kukutana nao mitaani kama hao "raia " huru niliokutana nao.
 
Garbatula ni wapi huko mkuu? Kama ni kwa wafugaji wenye bunduki siendi hata kwa kulipwa😀
 
Garbatula ni wapi huko mkuu? Kama ni kwa wafugaji wenye bunduki siendi hata kwa kulipwa😀
Hahahaha acha uoga mkuu, wale jamaa yaani kwanza wako primitive wanatema tema mate hovyo na hawaongei hizi lugha maarufu af wana umoja balaa, kuna jamaa alileta tabu walimtembezea fimbo za fasta fasta, jamaa wanajua kucheza na fimbo kama wairaqw kule qameyyu.
 
Ndiyo unanitaka niende huko? Nimekukosea nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…