Dogi anahangaika tu kama anataka kutaga, ila Wema kawahi kujisalimisha kwa Matilda ha ha ha Matilda alitishia kutoa siri za wema, imebidi wema apatane haraka iwezekanavyo
Wema naye kiboko..kaanza kuzionja toka enzi za kinablue mpaka leo...atakuwa Danny wakike asyee
Hadi chupi za mange zipo instagram ha ha ha mjini kuna mamboYaani yangempata kaa ya dadake MAnge alivyoumbuliwa na housegirl wake!! Lakini iko siku yatatoka tu.
Shape ya rungu, ha ha yupo kama ufunguoDuh...huyu jamaa kanenepa juu tu aiseee kama kirungu
U mean Danny wa k2? Ha ha ha ha ha
Mjinga mwenzie wema, alikua kinara wa team wema, anatukana watu insta hadi alishalala polisi kisa matusi yake, ila sahv kahama team wema eti team Nikki Minaj Kwi KwiMatilda ndio wakina nani?? elezea fresh wengine ndio tunajifunza funza umbea mdoo mdooo
Kuna story ipo jukwaa la wakubwa Danny ndio steringDanny ndio nani, kanipita huyo.
Mpokea order ni kandindahahahahahhaha....Hivi unajua ukiwa na laki tano unamkula huyo demu...huyo anauza....kama huamini wewe jaribu tu...Ongea na kadnda
Hahahahah okey...Mjinga mwenzie wema, alikua kinara wa team wema, anatukana watu insta hadi alishalala polisi kisa matusi yake, ila sahv kahama team wema eti team Nikki Minaj Kwi Kwi