Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Evelyn Salt jamani team madame wamemgomea le new shemeji, le mukongo, le milionea. Khaaa le shemeji anapokea kichambo.
hhhhaaaa uwiiuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evelyn Salt jamani team madame wamemgomea le new shemeji, le mukongo, le milionea. Khaaa le shemeji anapokea kichambo.
Duh, laki tano zote ndio ununue yule. Kweli hawa madungayembe wanaishi mjini kwa kwa kutegemea wanaume wasio na akili.
Ha ha ha ha ha leo huko Insta team wema wanachekesha akili zimewaruka lol
Kwani si walishaachana na hudda?
Hawa watu wa kusafiri safiri leo dubai kesho sayari ya Pluto na kazi hawana ni wauza nyapu wazuri hudda, vera sidika n.k wema tu ndo anakopesha ha ha ha mcongo mwenyewe kamkopakumbe huda akisafiri pia Hua anajiuza,huyo mkongo kama undertaker hhhhaa
hata mimi namtaka wema , nionje na mimi
Maana yke nini? Tumia kiswahili tuWema is a common prostitute
Hawa watu wa kusafiri safiri leo dubai kesho sayari ya Pluto na kazi hawana ni wauza nyapu wazuri hudda, vera sidika n.k wema tu ndo anakopesha ha ha ha mcongo mwenyewe kamkopa
Hahah inawezekana....
Ukute yeye na huddah wote wamekuja kushusha mzigo
Hapo ni madili ya unga tu. Mwingine hapo ni ''punda'', mwingine ni ''pusha''.Mmmh kazi kwelikweli.......
kumbe huda akisafiri pia Hua anajiuza,huyo mkongo kama undertaker hhhhaa
Ntakuwa nimetukanaMaana yke nini? Tumia kiswahili tu
Mwananyamala KOMAKOMAHivi kazini kwa Wema ni wapi........?.......nataka kwenda ofcn kwake.........
Nadhan mnajua kuwa wema ana deni la tanesco wacha mkongo amlipieMcongo ana mashauzi kama muhaya lol pale hamna kitu
Pamoja na magufuli wanadiliki kufanya hvyo......?Hapo ni madili ya unga tu. Mwingine hapo ni ''punda'', mwingine ni ''pusha''.