JembePoli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,324
- 996
Ukipajua mkuu nitonye...Hivi kazini kwa Wema ni wapi........?.......nataka kwenda ofcn kwake.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipajua mkuu nitonye...Hivi kazini kwa Wema ni wapi........?.......nataka kwenda ofcn kwake.........
Seriously?Aisee...
Hivi inawezekana kuna ukweli Kuna jirani yangu ni team Wema amejinyonga leo baada ya hiyo taarifa.
Mbona ghali sana hapo na depreciation imeisha chukua nafasi au uchakavu umeisha kokotolewa?Duh, laki tano zote ndio ununue yule. Kweli hawa madungayembe wanaishi mjini kwa kwa kutegemea wanaume wasio na akili.
Hahaha jf raha tupu i can imagine twasira ya rungu.....daaaaHa ha ha new shemeji nae yupo yupo kama rungu juu mkubwa chini mdogooo ha ha ha afu anajishaua
Aisee...
Hivi inawezekana kuna ukweli Kuna jirani yangu ni team Wema amejinyonga leo baada ya hiyo taarifa.
Ha ha ha ha ha leo huko Insta team wema wanachekesha akili zimewaruka lolAisee...
Hivi inawezekana kuna ukweli Kuna jirani yangu ni team Wema amejinyonga leo baada ya hiyo taarifa.
Mcongo anachafua hali ya hewa instaHa ha ha aangalie sana maana mcongo yupo kama undertaker, kofi moja atajikuta uso wote umegeukia mgongoni
Hii movie imefika patamu, insta pamekua patamu lol, sasa hudda nae Regency kaijia nini si walishamwaganaIdriss kaumia sana,tatizo itakuwa ahongi,ila Wema kwa huyo mcongo namuonea huruma,nina feelings wema atafanyiwa kitu mbaya,huyo mcongo kishatoka hadi na huda
Ha ha ha new shemeji anajishaua, anavijembe hatariHahaha jf raha tupu i can imagine twasira ya rungu.....daaaa
Hata wale wa 'humu' si unaona walivochanganyikiwa.Ha ha ha ha ha leo huko Insta team wema wanachekesha akili zimewaruka lol
hahahaa kaogopa kuibiwa,chezea ukuni wa mcongo,hahah the biggest in the world.Hii movie imefika patamu, insta pamekua patamu lol, sasa hudda nae Regency kaijia nini si walishamwagana
hahahahahhaha....Hivi unajua ukiwa na laki tano unamkula huyo demu...huyo anauza....kama huamini wewe jaribu tu...Ongea na kadnda
JPM mpe uyu binti hata ukuu wa Wilaya aseeee maana nahisi ana nguvu sana akiwa na mimba ni habari,imetoka habari kubwa,kaachwa ni habari,kapata bwana mpya habari nyingine naona wa Tz ndio uwezo wetu wa kufikiri umefikia hapa mpe Wilaya tena hapo hapo Dar atahamasisha sana maendeleo maana siku akiokota takataka basi jiji lote litafata kuna wasanii wamefiwa na waume/wake na wazazi kimya ila uyu ndezi imetoka mimba kidogo kuwe na matanga kwenye social networks khaaaaas JPM fanya fikra mtumie uyu binti.
Idriss kaumia sana,tatizo itakuwa ahongi,ila Wema kwa huyo mcongo namuonea huruma,nina feelings wema atafanyiwa kitu mbaya,huyo mcongo kishatoka hadi na huda
Hiyo mashine ya laki tano iko wapi pale mkuu utaishia kulia hasara mie huyo nampa ten tena naisikitikia bado,ukiwa na elf50 pale corner bar unaopoa chombo chenye rangi halisi ukaspend laki5 na huyo alojichubua???hahahahahhaha....Hivi unajua ukiwa na laki tano unamkula huyo demu...huyo anauza....kama huamini wewe jaribu tu...Ongea na kadnda
Wema tatizo hana akili,alitakiwa afanye investment mpaka leo hata nyumba hana;pamoja na kugawa kwa wenye mapesa yao:Amekalia moet tu basiSema Huda naye Mjanja kamchoropoa Jamaa lile Range akasepa sasa Ugold Digger alio nao Huddah huyu Binti yetu Wema Hawezi kbs
Hicho kilio ni cha wapi maana daaaah umenikoshaaaAtaua wengi Sana huyu, euwiii yauwiiii, auwiuu yelewiii nishikeni auwuiii