Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Status
Not open for further replies.
Idriss kaumia sana,tatizo itakuwa ahongi,ila Wema kwa huyo mcongo namuonea huruma,nina feelings wema atafanyiwa kitu mbaya,huyo mcongo kishatoka hadi na huda
Hii movie imefika patamu, insta pamekua patamu lol, sasa hudda nae Regency kaijia nini si walishamwagana
 
Hii movie imefika patamu, insta pamekua patamu lol, sasa hudda nae Regency kaijia nini si walishamwagana
hahahaa kaogopa kuibiwa,chezea ukuni wa mcongo,hahah the biggest in the world.
 
hahahahahhaha....Hivi unajua ukiwa na laki tano unamkula huyo demu...huyo anauza....kama huamini wewe jaribu tu...Ongea na kadnda

Whaaaaaat?!!!!.. Are you you??
 
Yani Huyu akipewa Ukuu wa Wilaya yani Wilaya Nzima Atawalambisha Alamba na JPM mwenyew ndoa inaweza kuvunjika huyu binti sikio la kufa halifai msibani wala ndoani hiyo kitu yake ikikaa masaa kadhaa inalilia inataka Heavy Job kwa kifupi huyu ni SEX Addicted hata Umpe nin hatosheki labda umpe Dolido litamfaa tena lile la umeme

Idriss kaumia sana,tatizo itakuwa ahongi,ila Wema kwa huyo mcongo namuonea huruma,nina feelings wema atafanyiwa kitu mbaya,huyo mcongo kishatoka hadi na huda

Sema Huda naye Mjanja kamchoropoa Jamaa lile Range akasepa sasa Ugold Digger alio nao Huddah huyu Binti yetu Wema Hawezi kbs
 
Udaku bila picha sio dili mjini, weka picha tudhibitishe kisemwacho.
 
hahahahahhaha....Hivi unajua ukiwa na laki tano unamkula huyo demu...huyo anauza....kama huamini wewe jaribu tu...Ongea na kadnda
Hiyo mashine ya laki tano iko wapi pale mkuu utaishia kulia hasara mie huyo nampa ten tena naisikitikia bado,ukiwa na elf50 pale corner bar unaopoa chombo chenye rangi halisi ukaspend laki5 na huyo alojichubua???
 
Sema Huda naye Mjanja kamchoropoa Jamaa lile Range akasepa sasa Ugold Digger alio nao Huddah huyu Binti yetu Wema Hawezi kbs
Wema tatizo hana akili,alitakiwa afanye investment mpaka leo hata nyumba hana;pamoja na kugawa kwa wenye mapesa yao:Amekalia moet tu basi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…