Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Status
Not open for further replies.
Wema hana huruma hata kidogo aiseee sasa anataka Idrissa sura yake haiweke wapi?!
 
Yani mtu unachapiwa demu wako, na wewe ndio unaomba msamaha, hahaha. Madame naomba namba ya mganga wako tafadhali, maana sio kwa uzombie huo!
 
Ha ha ha dogo mwenye mimba kamwagwa?,ngoja picha lisonge mbele tutajionea mengi!..
 
You are.... Simple English inakushinda mengine je?
Hilo box ndio linaitwa Advocate ati.. teh teh teh

Labda kama huo U'advocate alisomea kule Lushoto baada ya kufeli form four na School of Law alifanyia Eritrea sio pale UDSM...
 
Haaa mbona Hudda nae anatuuliza Mcongo ndio mnyama gani??

nimem follow huyo mcongo ana mashauzi looh..
Yule mcongo hana lolote,mashauzi tu,niliangalia picha zake kuna picha anaonyesha investiments zake huko uganda,kimashine cha kusaga,kwa swaga zake yaani ile mashine ni ya kawaida sana halafu magunia mle ndani hata hamsini hayafiki.Yule atakuwa punda,
 
Yule mcongo hana lolote,mashauzi tu,niliangalia picha zake kuna picha anaonyesha investiments zake huko uganda,kimashine cha kusaga,kwa swaga zake yaani ile mashine ni ya kawaida sana halafu magunia mle ndani hata hamsini hayafiki.Yule atakuwa punda,
Hahah inawezekana....
Ukute yeye na huddah wote wamekuja kushusha mzigo
 
"Machungu ya mimba" mimba hewa ina uchungu gani, hakuwa na mimba, hiyo ilikuwa chenga la macho! Mara utaskia imerudi atajfungua soon.., atabadili wanaume mpaka azeeke! Kashajiharbia mwenyewe,, hivi hao wanaojiita mastar kwa nini wengi wao hawaishiwi na skendo za mapenzi, na hata mahusiano yao wengi hayadumu! Hii dhambi ya zinaa ni mbaya sana...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…