Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..

Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.

Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..

I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi..

 
Once you are in..you are always mfck inn..never try dis shit%÷=₩
 


Huyu ndo nani tena?
 
nimeona tamthilia mpya azam tv imeanza hivi karibuni yupo mlela anaigiza yupo salama tu kiafya labda iwe imeigizwa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…