PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kwenye page zake za mitandao ya kijamii anapost picha kila siku anaonekana yuko poa tu ngoja tusubiri kama kweli anatumia unga itafahamika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah mbona mimi ni mwaka wa 25 nakula unga (unga mkali.. heroin na cokein) hazijanidhuru.. nadhani kila mtu na kichwa chake na mwili wake..Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..
Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.
Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..
I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi..
View attachment 397426
HamzidiiiiiiAnamzid kamikaze?
Amani kwa kaka voda milionea mwambie moo nishaacha poda wala sili mmea. Lyrical And Natural Gifted Africa..r.i.psalam kwa voda milionea....mwambie mzee aache ushoga na umbea.......r.i.p langa
Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..
Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.
Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..
I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi..
View attachment 397426
hii ngumu kumesaMpwa unamshangaa Mlela.. Unaambiwa hadi FID Q na yeye inasemekana anatumia ngada
ndoto kubwa si ndio zinakupa changamoto?Ndoto kubwa. ...pesa hamna wanapata stress wanakula poda...wanapotea
hii ngumu kumesa
Kila anaesuka ,kuweka dawa na kuvaa hereni kwako ni handsome[emoji15]Handsomeeeeeeee
Watu wa tape hiyo huaga hawaelewi mpaka wanakufa Na unga wao.Ngoja waone madhara ya kutumia madawa labda kuna siku wataelewa.
Ee ndioKila anaesuka ,kuweka dawa na kuvaa hereni kwako ni handsome[emoji15]
Jay MoeNan ameandik hii mistari?