Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?

Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?

Kwenye page zake za mitandao ya kijamii anapost picha kila siku anaonekana yuko poa tu ngoja tusubiri kama kweli anatumia unga itafahamika!
 
Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..

Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.

Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..

I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi..

View attachment 397426
daaah mbona mimi ni mwaka wa 25 nakula unga (unga mkali.. heroin na cokein) hazijanidhuru.. nadhani kila mtu na kichwa chake na mwili wake..
 
Huyu kaka namfahamu.nafahamiana nae miaka mingi tu.sifikirii.nilimuona kama mwezi hivi uliopita yupo vizuri tu.
 
Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..

Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.

Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema kabla haijawa too late..

I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha yupi mkali zaidi..

View attachment 397426

Mpwa unamshangaa Mlela.. Unaambiwa hadi FID Q na yeye inasemekana anatumia ngada
 
Bongo hii! Eti mtu kuubwia unga na kuishia kuwa teja au crack head ni ujanja!
Street shit!!!
 
Back
Top Bottom