Ni kweli?

1.wanawake ni muhimu sana katika dunia, wao ndio wametufanya sisi wanaume tuwe kama tulivyo
2.Wanaume nasi ni muhimu sana katika dunia, sisi pia tumewafanya wanawake wawe kama walivyo.

basi umemaliza kelele hapa!!!!!!!!
 
Hivi inakuwaje mwamamme akimfumanaia mwanamke kumsamehe ni ngumu sana tena atatafuta kisingizio cha kumwacha ila mwanamke akimfumania mwanaume wake kusamehewa ni rahisi...nielewesheni hii kitu sijaielewa sawasawa...
 
Katika maswala ya mapenzi wanaume wametawaliwa na wivu uliochanganyika na uchoyo pamoja na ubinafsi.Anaweza hata kuua mtu akimwona akitoka na moja kati ya wanawake wengi anaowamiliki hata kama hawatoshelezi hawa wanawake kwenye mambo ya ndoa.
 
Tena kwa hasira!

Wabeijingi bwana...........wanawake ........wanawake.......yaani wanasahau we have an important role to play as well!

Hommie umuwene mshiki?
Waambie mkuu yaani imefikia mahali hawa wabeijing wanadhani dunia ingekuwa mahali bora sana bila madume....So disgusting!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…