Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu nimeipata HP core i3 4th ram 4 tatizo baada ya kuifungua nakutana Na HDD ya ToshibaAround laki 3 ukitafuta vizuri unapata core i5 gen ya 3/4.
Ama ukitaka haraka haraka unapata core i3 gen ya 2 mpaka 4.
Check discountkubwa naona wanazipost karibuni machine nyingi za i5 kwa 365,000
Kikubwa nakushauri nunua laptop za mtumba achana na haya mamichina ya dukan yanayo ng'aa ng'aa HAKUNA cha TOSHIBA , DELL , HP,LENOVO wala nini ukiligonga gonga ni miplastiki tu kama vyombo vya cello 😆😆😆 ni majina tu lakin ndani ni kitu kimoja ni uchafu mtupu siku chache tu lock za display zinakatika kioo hakijiwezi tena laptop imeandikwa kabisa sell in MEA 😃😆😆😆😆😆😆Around laki 3 ukitafuta vizuri unapata core i5 gen ya 3/4.
Ama ukitaka haraka haraka unapata core i3 gen ya 2 mpaka 4.
Check discountkubwa naona wanazipost karibuni machine nyingi za i5 kwa 365,000
Hizo za mtumba zinapatikana wapi mkuu?Kikubwa nakushauri nunua laptop za mtumba achana na haya mamichina ya dukan yanayo ng'aa ng'aa HAKUNA cha TOSHIBA , DELL , HP,LENOVO wala nini ukiligonga gonga ni miplastiki tu kama vyombo vya cello 😆😆😆 ni majina tu lakin ndani ni kitu kimoja ni uchafu mtupu siku chache tu lock za display zinakatika kioo hakijiwezi tena laptop imeandikwa kabisa sell in MEA 😃😆😆😆😆😆😆
Hapo utakuta Ram ya Kingstone,..Sawa mkuu nimeipata HP core i3 4th ram 4 tatizo baada ya kuifungua nakutana Na HDD ya Toshiba
Sjui nshapigwa mkuu au Haina tatizo
Ni kawaida HDD hazina shida ni kawaida kukuta pc ni toshiba ndani ina HDD ya segate au hitachi na kama mtumba huwa haziji na HDD hivyo huwa zinawekwa huku huku.Hapo utakuta Ram ya Kingstone,..
processor katengeneza intel..
Display imetoka kwa samsung..
battery kutoka Shenzhen lepower electronics,..
OS from Microsoft, motherbody ya GIGABYTE .
Haina tatizo, futa pumzi baadae weka ssd,Sawa mkuu nimeipata HP core i3 4th ram 4 tatizo baada ya kuifungua nakutana Na HDD ya Toshiba
Sjui nshapigwa mkuu au Haina tatizo
Duuh mitumba mizuri nami nidake wapi wajuba kukaa bil pc utumwaHaina tatizo, futa pumzi baadae weka ssd,
Kwa laptop ama desktop?Duuh mitumba mizuri nami nidake wapi wajuba kukaa bil pc utumwa
Kwa msaada wa wengi, laptop bro, kwa Dar.Kwa laptop ama desktop?
Kwa mtumba hao Discountkubwa, sema ni hit and miss si muda wote wana mali nzuri. Ila wakiwa na mzigo mzuri hizi gen za zamani 2nd mpaka 4th ni chini ya laki 4.Kwa msaada wa wengi, laptop bro, kwa Dar.