Ni lazima kila wiki kuwe na teuzi?

Ni lazima kila wiki kuwe na teuzi?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Why hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?

Je, teuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya nchi kupitia hatua?

Make awamu iliyopita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa anatengua na kuteua.

Awamu hii ni teuzi, kila wiki au kila baada ya siku 5.

Why sizijumlishwe panoja zikafanyika mara moja na hata kama Uapisho utafanyika kwa Interver?
 
Kwa hiyo ulitaka mama asiteue ndugu... na bado MaDC tuwe wavumilivu
 
Whay hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?

Je tuuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya ncbi kupiha hatua?

Make awamu ilio pita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa ana tengua na kuteua.

Asamu hii ni teuzi, kila wiki au kila basda ya siku 5.

Why sizijumlishwe panoja zikafanyika mara moja na hata kama Uapisho utafanyika kwa Interver?

Huu ni uongozi mpya!. hakuna muda wa kuchelewa kupanga safu ya watu utakaofanya nao kazi!..tena ingewezekana angefanya kila siku ili amamilize mapema zaidi kupanga timu yake na kazi iendelee!

Besides, naamini hiyo interver uliyoandika uliimaanisha interval!.. kama sivyo basi nisamehe!
 
Naminisha hivyo Mwingileza mweusi
 
Teuzi zisipo kuhusu unajionea sawa tu. Zinaathiri kitu gani labda ungetuambia
Nyie ndo mnakaa kushangilia teuzi? Yaani mnaona ni maendeleo? Wakati muda huu wenzetu wanaumiza vichwa kuhusu wanasaidia vipi raia wao hasa kwenye swala la ukuaji wa Techinolojia wewe unashagilia teuzi,
 
Whay hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?

Je tuuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya ncbi kupiha hatua?

Make awamu ilio pita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa ana tengua na kuteua.

Asamu hii ni teuzi, kila wiki au kila basda ya siku 5.

Why sizijumlishwe panoja zikafanyika mara moja na hata kama Uapisho utafanyika kwa Interver?
Anatengeneza Timu yake ya Kazi ikamilike mapema
 
Mkuu unataka kumpangia cha kufanya?
Kwani humu Post zote ni za kumpangia Raisi cha kufanya? Mbona post zinazo muhusu ziko nyingi sana? Kwani hili jukwaa ni la kuapangia watu cha kufanya au ni kujadili mambo?
 
Nyie ndo mnakaa kushangilia teuzi? Yaani mnaona ni maendeleo? Wakati muda huu wenzetu wanaumiza vichwa kuhusu wanasaidia vipi raia wao hasa kwenye swala la ukuaji wa Techinolojia wewe unashagilia teuzi,
Nionyeshe wapi nimeshangilia, hata kufatilia sizifatilii nazisikia tu kwa juu juu. Hazinisaidii chochote nipo busy na umachinga wangu.
Ateue asiteue naona sawa.
 
Kwani humu Post zote ni za kumpangia Raisi cha kufanya? Mbona post zinazo muhusu ziko nyingi sana? Kwani hili jukwaa ni la kuapangia watu cha kufanya au ni kujadili mambo?
Mkuu Rais hawezi mudu majukumu yote peke yake anahitaji wasaidizi ambao ndo hawa anao teua
 
Huu ni uongozi mpya!. hakuna muda wa kuchelewa kupanga safu ya watu utakaofanya nao kazi!..tena ingewezekana angefanya kila siku ili amamilize mapema zaidi kupanga timu yake na kazi iendelee!

Besides, naamini hiyo interver uliyoandika uliimaanisha interval!.. kama sivyo basi nisamehe!
Nakuunga mkono kwa hoja yako. Binafsi nilitegemea Leo hata angepiga na Ma DC tuachane na kazi za kuteuana tuanze safari rasmi.
 
Back
Top Bottom