Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Hapa ndo pasua kichwa kwa MamaSehemu alliyokosea kwenye Baraza la mawaziri, huku kwingine asingepata shida.
Atasumbuka Sana na hapo ndipo kazi itamshinda
Watanzania kwasasa no waelewa Sana wanawajua viongozi wabovu na wazuri