Ni lazima kila wiki kuwe na teuzi?

Wewe unawashwa na kitu gani?
Mbona hukuuliza wakati wa utawala wa Jiwe?
 
Mama anaendelea kupiga deki ikulu hadi pale atakapo jiridhisha mwenyewe kuwa sasa ni pasafi na hakuna makando kando yaliyobakia
 
Mstaga tulia Mungu ndio muumba wa yote atakalo yeye ........mkubali fu mwendazake amerudi mavumbini kazi iendelee
 
Nimekuja kuamini kumbe so ugonjwa tu ndo unaambukiza hata tabia, mama kaamvukizwa tabia za kuteua teua na magufuli
 
Anayatoa masalia ya mwendazake na sukuma Gang.
 
afu atakuwa anafanya kazi gani hapo katikati ya hiyo interval mkuu.
Wewe chukulia siasa ni kama sehemu ya entertainment tu, lakini kwa maswala ya msingi, think, go to work, and think and work very hardly
 
Bora teuzi za sasa, mama anapanga safu....
Kuliko yule mlugaluga ni teua tumbua teua tumbua teua tumbua hadi moto unakata kazi ilikua hiyo tu.
 
Acha ujinga,,,kwani enzi za yule ibilisi ilikuwa ni lazima kila siku kuwepo na utenguzi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…