prince zodiac
Member
- Jun 27, 2013
- 40
- 9
Jamani kama ilivyosomeka hapo juu, naombeni ufafanuzi wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaenda bila cheti matokeo utayakuta huko huko kama walivyofanya TCU, nchi ya ajabu hii.
Nah kama umemaliza form6 mwaka huu wanataka result slip ya form6 na chet original cha form4 na cha kuzaliwa na make sure upo navyo vyote coz huwezi kucomplete registration bila wa kuwa na hivy vyeti,.na vyote viwe original sio copy
du sasa tuliosoma mikoa ya mbali ni shida na umasikini wote huu daa! Hv nikiomba nitumiwe kwa fax inakuja copy au original result slip
Man vyeti ni lazima
wale wa diploma nao watahitajika kwenda na cheti chake cha kumaloza diploma?au ni hivyo vya sekondari tu