Ni lazima kuripoti na 'result slips' za form six chuoni?

Ni lazima kuripoti na 'result slips' za form six chuoni?

Unaenda bila cheti matokeo utayakuta huko huko kama walivyofanya TCU, nchi ya ajabu hii.
 
Unaenda bila cheti matokeo utayakuta huko huko kama walivyofanya TCU, nchi ya ajabu hii.

mkuu nasikia ili usajiliwe wanahitaji vyeti kwa ajili ya uhakiki, je ni kweli au ni propaganda tu.
 
Mie nilisikia eti ni muhimu kuwa navyo kwa ajili ya uhakiki, vipi kaka zetu mlio vyuoni tusaidien hapo.
 
Nah kama umemaliza form6 mwaka huu wanataka result slip ya form6 na chet original cha form4 na cha kuzaliwa na make sure upo navyo vyote coz huwezi kucomplete registration bila wa kuwa na hivy vyeti,.na vyote viwe original sio copy
 
vyote kwa pa1 au ki 1 wapo kat ya ivyo
 
Vyote coz wanavicertify kule!!..but form 6 wa mwaka huu watapeleka result slip ya form6 but cha form four kisiwe slip..
 
du sasa tuliosoma mikoa ya mbali ni shida na umasikini wote huu daa! Hv nikiomba nitumiwe kwa fax inakuja copy au original result slip
 
Kwa wale wa sua,lazma uwe navo aisee!kuna mwana walmzngua ikabid akirudie home kwao!
 
du sasa tuliosoma mikoa ya mbali ni shida na umasikini wote huu daa! Hv nikiomba nitumiwe kwa fax inakuja copy au original result slip

Kwa vyuo vya serikali ni lazima uwe na mambo yako yote i.e slip ya form6,cheti cha form4 na cha kuzaliwa...sijui vyuo vya kibabaishaji vya private but please anza kufanya manuva yako uifate hio result slip ya form6 la sivyo utakuja kujuta..
 
wale wa diploma nao watahitajika kwenda na cheti chake cha kumaloza diploma?au ni hivyo vya sekondari tu
 
wale wa diploma nao watahitajika kwenda na cheti chake cha kumaloza diploma?au ni hivyo vya sekondari tu

Ni lazima maana hicho ndicho kitathibitisha kua ni wewe na sio mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom