kuna mtu naplan kumfanyia kama ulivyofanyiwa wewe,make nishamwambia home hawamtaki yeye hatk kuamini,wait...
Sometimes matatizo mengine mnajitakia wenyewe!
Wageni mna mbwembwedah pole mdada mzuri Mungu yupo atakusaidia nimeona umejoin jf soon tarehe 29 mwezi jana sijui ndo ulikuwa unataka ushauri au. Naomba nichukue fursa hii kukukaribisha humu ndani
Maty hawa viumbe sijui wakoje, kuna wakati wanasahau kabisa raha na tabu zote mlizopitia, wanageuka wanyama, eti home hawamtaki, kwani ukimuoa unawaolea ndugu zako?Si useme tu we ndio humtaki, eti hm hawamtaki, kwani wao ndio wanaishi nae? watu mnapenda sana kuumiza wenzenu ila tu ukumbuke hilo unalotaka kumfanyia mwenzio lazima siku moja litakurudi hata ipite miaka mingapi, we tamba tu sasa ila wakati wako waja
lea mtoto kwani huna mikono ya kufanya kazi. Mapenzi kitu gani? ebo!
pole sana shost kwani huo ushauri hapo red ulikuwa hujui ilo? Wanaume ni sooo mwaya ISHI KIMBAYU WAYUhabari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja anafanyakazi wizara ya ardhi dsm.kwa muda wa takriban miaka 6 sasa.na nilikuwa naishi naye na.tuliishi kwa upendo na amani.nikapata ujauzito nikalea mimba nikiwa nae mpaka ikafika muda wa kwenda kujifungua nikasafiri kuja kwetu kaskazini kujifungua.cha kushangaza
toka mwezi wa 7 mwaka huu nilivyoondoka:~
hajawahi kutuma hela hata sent ya kubust matumizi na nimeshajifungua mtoto ana mwezi 1 sasa.
~hajaja kumsalimia mtoto wake toka amezaliwa
~kila nikimpigia simu ananiambia yupo baa na marafiki zake.
~kibaya zaidi kaniambia hatakuja kumsalimia mtoto anasubiri nirudi dar.
Na chakushangaza sasa.
Wiki 3 zilizopita alifungasimu usiku mzima.alfajiri saa12 nikampigia simu ikapatikana lkn haikuwa sauti yake ilikuwa sauti ya kike.cha kwanza kuulizwa 'kwann unamsumbuasumbua mume wangu mara msg mara calls ameshakuacha hakutaki anaogopa tu kukwambia.nikatukanwa na matusi mengine mazito ambayo c ustaarab kuyaandika.then cm ikakata.nadae nikapiga tena akapokea mtuhumiwa baba mtoto wangu.but alikana katakata hakuwa na mtu.ckupendezwa nikamwambia basi aendelee na ustaarabu wake na mm nitalea mtoto peke yangu coz hata nikimtegemea ni kazi bure coz hakuna alichowahi kunisaidia.
Kinachoniuma.
~nilimpenda kupita kiasi
~nilipoteza vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuacha chuo ajili yake.
~niligombana na ndugu zangu coz of him.
~nw nimeishia njiani sijui nimtambulishe mwanangu kwa baba yake au niache.na sijui moyo wangu utawezaje hata kuniruhusu kuongea nae coz ninamchukia vibaya sana.
And thats y nasema mtoto wangu akikua lazima nimpe kisa cha baba yake.coz amenitenda haswa.
nawashauri mabinti kama ni kupenda iwe ni kwa kiasi isiwe too much then muwe na mioyo ya ujasiri.
dah...haya mapenzi huwa siyaelewi,uliacha chuo ukafanya nini?mtoto anahaki ya kumjua babake,yeye ndio ataamua huko mbele!pole lakini
dah! kitu cheusiiii kama chungu! ni mpoki wa ze komedi?fabinyo you made my day bana dahhh...hahahahahahaaaa---huyu mkaka ni mweusi vipi, lol!...?
KINACHONIUMA.
~nilimpenda kupita kiasi
~nilipoteza vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuacha chuo ajili yake.
Nimesoma kote sijaona mahali ambapo mlifunga ndoa, kwa hiyo si mumeo. Unalalamika nini? Umeyataka mwenyewe. We unadaka mimba ya mwanaume ambaye hajakuoa halafu unakuja kulalamika hapa? Sikupi pole hata kidogo maana huu upuuzi naupinga kwa nguvu zote. Ona sasa mwanao unavyokuja kumsababishia unyanyapaa kwa tamaa zako mwenyewe. Nakuhakikishia kwa uzoefu, utakapomweleza mwanao haya yote, atasikitika kwa sababu wewe ni mamake anakupenda, lakini bado ataona aibu sana kuzaliwa katika mazingira ambayo mama alijiaibisha kiasi hiki. Na atakulaumu sana tu. Acheni kujibebesha mimba za ngono zinzi, mnawaharibia watoto wenu na kuwapa maumivu ya kudumu katika akili zao. <br>KILICHOPO kwako sasa, tulia umlee mwanao kwa hali zote bora iwezekanavyo afanikiwe katika maisha haya angalao itampunguzia maumivu. Achana na suala la kuendeleza bifu kwa mtoto utaumia zaidi. Huyo mtoto akikua atamtafuta babake na atapewa story tofauti kabisa, na uamuzi wa ipi aiamini kati ya hiyo utakayompa na ile atakayopewa na babake ni wa kwake mwenyewe. Anaweza kumwambia kwa mfano "Mwanangu haya mambo sikutaka kujadili lakini kama mamako kakuambia hivyo bora nami nikuambie ukweli. Nilimfumania mamako akiwa na mwanaume chumbani kwangu ndio ikawa mwisho".habari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja anafanyakazi wizara ya ardhi dsm.kwa muda wa takriban miaka 6 sasa.na nilikuwa naishi naye na.tuliishi kwa upendo na amani.nikapata ujauzito nikalea mimba nikiwa nae mpaka ikafika muda wa kwenda kujifungua nikasafiri kuja kwetu kaskazini kujifungua.cha kushangaza
TOKA MWEZI WA 7 MWAKA HUU NILIVYOONDOKA:~
Hajawahi kutuma hela hata sent ya kubust matumizi na nimeshajifungua mtoto ana mwezi 1 sasa.
~hajaja kumsalimia mtoto wake toka amezaliwa
~kila nikimpigia simu ananiambia yupo baa na marafiki zake.
~kibaya zaidi kaniambia hatakuja kumsalimia mtoto anasubiri nirudi dar.
NA CHAKUSHANGAZA SASA.
WIKI 3 ZILIZOPITA alifungasimu usiku mzima.alfajiri saa12 nikampigia simu ikapatikana lkn haikuwa sauti yake ilikuwa sauti ya kike.cha kwanza kuulizwa 'kwann unamsumbuasumbua mume wangu mara msg mara calls ameshakuacha hakutaki anaogopa tu kukwambia.nikatukanwa na matusi mengine mazito ambayo c ustaarab kuyaandika.then cm ikakata.nadae nikapiga tena akapokea mtuhumiwa baba mtoto wangu.but alikana katakata hakuwa na mtu.ckupendezwa nikamwambia basi aendelee na ustaarabu wake na mm nitalea mtoto peke yangu coz hata nikimtegemea ni kazi bure coz hakuna alichowahi kunisaidia.
KINACHONIUMA.
~nilimpenda kupita kiasi
~nilipoteza vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuacha chuo ajili yake.
~niligombana na ndugu zangu coz of him.
~nw nimeishia njiani sijui nimtambulishe mwanangu kwa baba yake au niache.na sijui moyo wangu utawezaje hata kuniruhusu kuongea nae coz ninamchukia vibaya sana.
AND THATS Y NASEMA MTOTO WANGU AKIKUA LAZIMA NIMPE KISA CHA BABA YAKE.COZ AMENITENDA HASWA.
NAWASHAURI MABINTI KAMA NI KUPENDA IWE NI KWA KIASI ISIWE TOO MUCH THEN MUWE NA MIOYO YA UJASIRI.
pole sana mpz nakuapata kinoma mana nina rafiki yangu kaumia sana juu ya mtu ila anampenda sana na ndio bado anampigania ni noma yanihabari wana jf.

Kwanini hukujifungulia Dar, km ni mtu wa kukusaidia alie huko Kaskazini now angekuja yeye Dar?????? Pole though...