Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 635
Kihere here kimekuponza (kwa mujibu wa hotuba ya rais), Wewe unakaaje na mwanaume miaka 6 halafu bado unajiona sio mke wake? Au mpaka upewe cheti cha ndoa?,
Najua kinachokupa hasira zaidi ni tuhuma ya kutembea na mke mwingine!, usikasirike kwani huna uhakika sana kwani mara nyingine mwanamke anaweza kuwa alikua anamuwinda sana bila mafanikio akapanga kuwasambaratisha kwa hila za kutumia simu!, vuta subila!
Kuhusu kuja kuona mtoto, wala sio kosa!, hata mimi nisingekuja kwani wewe sio mke wake bado!, anaogopa kupewa ndoa ya mkeka! Pia inategemea kama kazini wanaweza kumpa ruhusa!
Nitarudi baadae niwape za uso!