Pole mdada kwa matatizo yaliyokupata.Lakini mbona hasira nyingi sana?katika maisha mambo mengi utokea,na mara nyingi muhusika ndio anataka mwenyewe kuwa hivyo kama wewe ulivyokuwa na huyo jamaa,ni uamuzi wako,kumpenda,uamuzi wako, kushika mimba uamuzi wako,kuacha chuo uamuzi wako! hata kama yeye aliku-influence kidogo,lakini binadamu tumepewa akili tufikili,hivyo ungeweza kuamua lipi litendeke na lipi ulikatae!.Sielewi kabisa uamuzi wako wa kuacha chuo kwa ajili ya mwanamme!katika maisha ya sasa,am sorry dadangu huo ni upuuzi sio mapenzi.Alafu huo mpango wa kuzaa mlikaa chini kuamua pamoja?,uliamua mwenyewe ukadhani jamaa ata support? au ilitokea bahati mbaya? Inawezekana wewe ulitaka kuzaa lakini jamaa hakuwa tayarie!.Kweli jamaa kachemsha kukuacha na mtoto peke yako,lakini wanawake mnalalamika sana wakati vitu vingine inabidi muwe makini toka mwanzo wa mahusiano.kila siku story kama hizi zipo nyingi tu! inabidi u take responsibility kwa maisha yako!.huwezi kuzaa na mwanamme bila kua na uhakika mchango wake utakuwa upi katika malezi,na wewe utahishi vpi wakati umeacha kusoma ili uzae! yaani unanikera kila ninaposoma kuwa umeacha chuo ili kuzaa,maisha gani uliyokuwa unategemea?? kukaa ndani na kutegemea mwanamme! kwa nini usisubiri umalize ndio uzae? afadhali angekuwa kakuoa,lakini boyfriend tu ndio na wewe unajiachia hapo hapo kama mzigo.Cha msingi endelea na maisha yako,achana na huyo **** na matatizo yako usimuwekee mwanao,kama jamaa ka break your heart,ni mzigo wako kuubeba sio mtoto,yeye hausiki.Na ukikutana tena na mwanaume mwingine akikisha anajali na kusupport malengo yako,na rudi chuo utafute kazi umlee mwanao,sometimes you fall down so you can learn how stand!.take care