Ni lazima sasa Tundu Lissu afike Jimbo la Kyela

Na muache ukabila, 2015 mlipoteza ubunge kisa tu mgombea wa chadema alikuwa mkisi, watu wakamchagua mwakyembe sio kuwa wanamtaka bali ni mnyakyusa mwenzao
 
ACHA UONGO ULIMKIBIZAJE MWAKYEMBE WAKATI HUKUWA MJUMBE
Ujumbe gani ? Mwakyembe aliyekuwa anaogopa mikutano ya hadhara alisubiri mimi niwe mjumbe ? uligwakughu ugwe , mmyenu mundamba alisililepo ndeli bhu ikututila twe bha Chadema , kena abhopile na mmyabho Mwikholo ?

Twe bha Chadema tulibhasisya fijo .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamua kumwaga Kichina kabisa, duh.....!
 
Huyo jamaa ni mnyakyusa wa Tenende , alikuwa chawa wa Mwakyembe , sasa kwa sababu hajui kiswahili vizuri ikabidi nimwandikie kinyakyusa .

Kule kwao ndio ambako mkuu wa Wilaya ya kyela alipigwa mawe na kukimbia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nami Nina tag huu uzi,afike pia huku lingusenguse pls,sehemu pekee hakuna kiongozi yeyote wa kitaifa ameweza Kuja tokea uhuru wetu wa bendera
 
View attachment 2512713

Pamoja na Ukweli kwamba Jimbo la Kyela ni sehemu ya ngome imara za Chadema kwenye Mkoa wa Mbeya ikiwemo pia Kanda ya Nyasa , lakini mara zote Jimbo hili husahauliwa kwenye ziara muhimu za Viongozi wa Kitaifa , naandika haya nikiwa Mkazi wa Kyela , kijiji cha Kajunjumele , njia kuu kuelekea Itungi Port , kwahiyo naandika nikiwa na ushahidi wa kutosha .

Kyela ni mwisho wa nchi , hakuna barabara kuu ya viongozi kupita kuelekea kwingine , kwamba labda na sisi wanaKyela tuwazuie njiani na kuwalazimisha watuhutubie kama wafanyavyo majimbo mengine , Kiongozi anayekuja KYELA ni lazima apange safari ya Kuja Kyela moja kwa moja , ni lazima viongozi wa Kanda ya Nyasa wamwelekeze kwamba , TUKIFIKA UYOLE HEBU KATA KUSHOTO UENDE UKAHUTUBIE WANANCHI WA KYELA .

Viongozi wa Kanda ya Nyasa ni lazima safari hii Tundu Lissi akanyage Kyela , Afike Katumbasongwe , Ngonga , Ikolo , afike mpaka Ikato lya Nyerere , Bujonde , kajunjumele , Ipyana na Kwingineko , Tunataka Lissu afike Boda , ambako Bendera 5 za mwanzo unazoziona zinapepea ukitokea Malawi , zote ni Bendera za Chadema , sisi Kyela tulishaiua ccm kitambo sana , sasa hivi ni kama tunapambana na Polisi tu .

Labda kwa Taarifa tu ni kwamba CHADEMA KYELA ndio imemstaafisha siasa Mwakyembe , huyu hatukumpa muda wa kufurukuta , tuliziba njia zake zote , ilifika wakati Mwakyembe aliogopa hata kuitisha mikutano ya hadhara kwa hofu ya kuzomewa , yale mambo yao ya " ALILE KAKO " Ilikuwa nyongeza tu , ni lazima sasa viongozi wa Kitaifa wafahamu kazi kubwa tuliyoifanya ya kuua ccm Kyela kwa KUITAMBUA .

Mungu ibariki Chadema

Naomba kuwasilisha .

NAKALA : Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula , Sugu , China , Peter Msgwa , Tundu Lissu , Gwamaka Mbughi , John Mwambigija
Mungu ibariki Chadema[emoji1545][emoji817][emoji818] Mungu Ibariki CHADEMA [emoji1752]
 
Naamini chama ni wasikivu na pamoja na uchache wa rasiliamali bado ipo fursa ya kuwafikia wanachama na kubadilishana mawazo kwa maendeleo ya chama na taifa letu 🤔
 
Back
Top Bottom