Habari wakuu!
Kama swali lilivyouliza, Je wakati wa tendo la ndoa mwanamme anapomwaga shahawa zake ni lazima ziingie zote ukeni ili aweze kumpa ujauzito? Au kuna zingine huwa zinarudi nje na je ikoje hii katika kumpa mimba/ujauzito mwanamke!! Nawasilisha!!
NB: Nitafurahi sana nikijibiwa kitaalamu au na watu wenye uzoefu!!