Ni lazima Sophia Mjema awe na timu makini ya kujibu hoja za Tundu Lissu pale Uenezi, sisi wengine tutamsaidia huku JF

Ni lazima Sophia Mjema awe na timu makini ya kujibu hoja za Tundu Lissu pale Uenezi, sisi wengine tutamsaidia huku JF

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini.

Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
 
Mpaka leo mnashindwa kujibu hoja mkafungua kikundi cha watekaji,waporaji,wanyamazishaji,chawa na wauwaji mtaweza ili.mbona JF mnakimbia
 
Mbona wewe ni bure kabisa! kama na wewe wanakutegemea,basi mmepotea! Utamjibu nani? Kwa akili ipi?
 
Miradi ya Maendeleo inajieleza, hoja zitajibiwa kwa Miradi iliyojemgwa Nchini. Katika kipindi muenezi wa CCM anakazi nyepesi ni hiki Cha SSH
 
Back
Top Bottom