J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 17, 2023 #1 Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini. Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini. Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
B BALENSIAGA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 3,353 Reaction score 5,800 Jan 17, 2023 #2 Na kiuhalisia hakuna wa kujibu hoja za Lissu huko Lumumba.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 17, 2023 #3 Mpaka leo mnashindwa kujibu hoja mkafungua kikundi cha watekaji,waporaji,wanyamazishaji,chawa na wauwaji mtaweza ili.mbona JF mnakimbia
Mpaka leo mnashindwa kujibu hoja mkafungua kikundi cha watekaji,waporaji,wanyamazishaji,chawa na wauwaji mtaweza ili.mbona JF mnakimbia
Mhaiki2022 Senior Member Joined Jul 13, 2022 Posts 132 Reaction score 187 Jan 17, 2023 #4 Siasa sio mahakama kila mmoja ajikite kwenye hoja za msingi
W Wakabambee58 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2020 Posts 1,302 Reaction score 1,939 Jan 17, 2023 #5 Wangekuhitaji wasingeanzisha "WACHAFU" TEAM!!!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jan 17, 2023 #6 Mbona wewe ni bure kabisa! kama na wewe wanakutegemea,basi mmepotea! Utamjibu nani? Kwa akili ipi?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 17, 2023 Thread starter #7 Retired said: mbona wewe ni bure kabisa! kama na wewe wanakutegemea,basi mmepotea! Utamjibu nani? Kwa akili ipi? Click to expand... Wakati tunaanzisha Chadema Wewe ulikuwa migombani unalisha nguruwe
Retired said: mbona wewe ni bure kabisa! kama na wewe wanakutegemea,basi mmepotea! Utamjibu nani? Kwa akili ipi? Click to expand... Wakati tunaanzisha Chadema Wewe ulikuwa migombani unalisha nguruwe
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 Jan 17, 2023 #8 Sophia hatadumu hiyo nafasi.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 17, 2023 Thread starter #9 Equitable said: Sophia hatadumu hiyo nafasi. Click to expand... Kwanini?
Mpekuzi Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 650 Reaction score 1,016 Jan 17, 2023 #10 Miradi ya Maendeleo inajieleza, hoja zitajibiwa kwa Miradi iliyojemgwa Nchini. Katika kipindi muenezi wa CCM anakazi nyepesi ni hiki Cha SSH
Miradi ya Maendeleo inajieleza, hoja zitajibiwa kwa Miradi iliyojemgwa Nchini. Katika kipindi muenezi wa CCM anakazi nyepesi ni hiki Cha SSH