Ni lazima wote tuwe waislamu?

Ni lazima wote tuwe waislamu?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hivi ni lazima, mtu ukiwa na imani yako si inatosha?
 
Attachments

  • 79DF7035-CFF6-45A1-B82B-43386E23002A.jpeg
    79DF7035-CFF6-45A1-B82B-43386E23002A.jpeg
    78.3 KB · Views: 3
  • E5EF17A4-C41D-4572-9A14-CAA7E4C65F9D.jpeg
    E5EF17A4-C41D-4572-9A14-CAA7E4C65F9D.jpeg
    87.3 KB · Views: 3
  • BEF4AD75-9ABC-4236-96CE-3D0DF0FB5AFE.jpeg
    BEF4AD75-9ABC-4236-96CE-3D0DF0FB5AFE.jpeg
    87.2 KB · Views: 3
Hapana, hatuwezi wote kuwa waislam kwa kuwa imani na dini hiyo haituhusu
 
Sio lazima wote tuwe waislamu na hulazimishwi kuwa muislam, hapo jamaa anakulingania tu uende njia ya haki.
 
Njia ya haki ni kufuata yale aliyomarisha Mwenyez Mungu na kuacha yale aliyokataza. Kuacha kufuata matamanio ya Nafsi zetu kama muongozo wa maisha yetu.
Mh kwahiyo sisi hatufwati
 
Mkuu acha nikushauri kitu unajua kwanini huyo mtu anakushauri ubadili dini

Nikwasababu amekupima amekuona wewe ni dhaifu unaingilika kwa hoja za kijinga

Either mnaishi mtaa mmoja unamsifia sifia so ameona anakumudu anaweza kukuambia chochote anachojisikia juu yako

Mtu anaye question juu ya imani yako huyo ni takataka usimuendekeze mjibu ajione yeye ni ile kitu ya chooni
Sijui wewe unachofuata,
 
Wagalatia Tupo Imara Kama Chuma Cha Pua
 
Mkuu acha nikushauri kitu unajua kwanini huyo mtu anakushauri ubadili dini

Nikwasababu amekupima amekuona wewe ni dhaifu unaingilika kwa hoja za kijinga

Either mnaishi mtaa mmoja unamsifia sifia so ameona anakumudu anaweza kukuambia chochote anachojisikia juu yako

Mtu anaye question juu ya imani yako huyo ni takataka usimuendekeze mjibu ajione yeye ni ile kitu ya chooni
Ima inawezekana yupo Genuine anakuonea huruma anataka ufuate muongozo kama wake.

Katika maisha yangu haya mafupi nimeona watu kibao maarufu wanasilimu, wengine wakiwa ni Think tank kabisa za kuukandamiza Uisilamu matokeo yake wakabadili wenyewe.

Vyema kaa usome huo Uisilamu uuelewe kuliko kuhisi hisi kwamba watu wajinga ndio wanakuwa preached tu.
 
Sorry nilimnukuu mleta maada

Ila usirudie kuniambia upumbavu wako
Ima inawezekana yupo Genuine anakuonea huruma anataka ufuate muongozo kama wake.

Katika maisha yangu haya mafupi nimeona watu kibao maarufu wanasilimu, wengine wakiwa ni Think tank kabisa za kuukandamiza Uisilamu matokeo yake wakabadili wenyewe.

Vyema kaa usome huo Uisilamu uuelewe kuliko kuhisi hisi kwamba watu wajinga ndio wanakuwa preached tu.
 
Jichanganya waje wakule kichwa siku ukitaka kurudi kwenye imani yako ya asili,dini ya mudi inahitaji ujitoe akili kuifuata.
 
Back
Top Bottom