Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!"

Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!"

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi, nawakumbusha tena ile fursa adimu ya kujua kuhusu meditation ni leo saa 12:00 -2:00 pale Russian Cultural Center. Kiingilio ni bure!.

Karibuni sana njooni tumediteti!.

Pasco!.

Update.

Hiyo siku nilikwenda hapo Russian CC, hatukumediteti tena, bali mabingwa wa meditation walikuja kutuhubiri baadhi ya faida za kumediteti.

Wametukaribisha kwa mafunzo ya introduction to meditation yanayodumu kwa saa 3. Mafunzo yenyewe hutolewa kwa muda wa saa 1 kwa siku kwa muda wa siku 3 zozote utakazo chagua na muda wa hiyo saa moja ni muda utaouchagua wewe kwa mujibu wa ratiba yako.

Kituo chao cha mafunzo kiko pale Upanga karibu na Don Bosco, mtaa wa Mathundars jengo limeandikwa Brahma Kumaris Meditation Centre.

Mimi nitahudhuria hayo mafunzo na nitaleta hizo lessons humu jf.

Asanteni.

Pasco
 
Attachments

  • Brahma Kumaris Brochure back.jpg
    Brahma Kumaris Brochure back.jpg
    168.8 KB · Views: 96
  • Invitation Card-1.jpg
    Invitation Card-1.jpg
    529.7 KB · Views: 120
nakuja kumeditate......
ila tunaanzaje.....? nivae nini....?
 
Wanabodi, nawakumbusha tena ile fursa adimu ya kujua kuhusu meditation ni leo saa 12:00 -2:00 pale Russian Cultural Center. Kiingilio ni bure!.

Karibuni sana njooni tumediteti!.

Pasco!.
ziko meditation nyingi,nyie mnafundisha ipi Pasco? kundalini,mantra,ya yogesh mahesh,ya rose cruciasn...ipi?
 
Last edited by a moderator:
nakuja kumeditate......
ila tunaanzaje.....? nivae nini....?
mwenzangu,zipo meditation za aina nyingi duniani kuna ambazo unaangalia mshumaa tu au ua,na nyingine ( sio utani) zinafanyika uchi wa mnyama.
 
mwenzangu,zipo meditation za aina nyingi duniani kuna ambazo unaangalia mshumaa tu au ua,na nyingine ( sio utani) zinafanyika uchi wa mnyama.

hii inanifaa sana....naweza kuchagua cha kuangalia...?...na paliponivutia ni hapo pa kubaki na nguo ya kuogea....napenda sana kupata hewa wakati nameditate....
 
nishautwika saa hizi Jack Daniel......Meditation itapanda kweli.....................!
 
Back
Top Bottom