Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!"

Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!"

Wanabodi, nawakumbusha tena ile fursa adimu ya kujua kuhusu meditation ni leo saa 12:00 -2:00 pale Russian Cultural Center. Kiingilio ni bure!.

Karibuni sana njooni tumediteti!.

Pasco!.

Update.

Hiyo siku nilikwenda hapo Russian CC, hatukumediteti tena, bali mabingwa wa meditation walikuja kutuhubiri baadhi ya faida za kumediteti.

Wametukaribisha kwa mafunzo ya introduction to meditation yanayodumu kwa saa 3. Mafunzo yenyewe hutolewa kwa muda wa saa 1 kwa siku kwa muda wa siku 3 zozote utakazo chagua na muda wa hiyo saa moja ni muda utaouchagua wewe kwa mujibu wa ratiba yako.

Kituo chao cha mafunzo kiko pale Upanga karibu na Don Bosco, mtaa wa Mathundars jengo limeandikwa Brahma Kumaris Meditation Centre.

Mimi nitahudhuria hayo mafunzo na nitaleta hizo lessons humu jf.

Asanteni.

Pasco.
 
kumeditati ndo nini?
Inahusiana na Metaphysics?
Kumediteti, ni kutulia na kutafakari ili kufungua milango ya will power kufanya mambo ndani yako.
Mambo ya Metaphysics yana uhusiano na meditation. Metaphysics ni mambo ya mind over matter kwa mambo ya kuonekanika kama metea benders etc, katika meditation ni kutumia power of mind for wellbeing, kuzuia kuugua, na ukiugua kufanya self healing etc.
 
ziko meditation nyingi,nyie mnafundisha ipi Pasco? kundalini,mantra,ya yogesh mahesh,ya rose cruciasn...ipi?
Mkuu Bishanga, hawa jamaa wanafundisha Raja Yoga, wanadai haina masharti yoyote.

vitini vyao naviweka pale juu.
 
hakyani hii dunia ya leo usipochagua vitu, unajikuta mganga wa kienyeji na tunguri za kispanish.

Asante kwa maelezo, akili yangu nyembamba siamini kama naweza pona malaria kwa meditate bila medicate.
 
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...


Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
 
Back
Top Bottom